Ukiona hivyo ujue bolt washatema mlungula.Kwani ugomvi wao ni nini hasa?
Uber wamesitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA. Binafsi ingekuwa jambo la busura kuacha market forces kudetermine wanataka nini. Kama Uber wanachukuwa 25% na wewe unaona ipo juu basi nenda to another operator. At the moment quality of services being provided by remaining operators and condition of their vehicles leaves much to be desired. Hawana standards na discipline. Je kuna mtu LATRA anavuta mkwanja kuhakikisha Uber is pushed out of Tanzania.
Lakini hii ndo maana halisi ya kuwa mwajiriwa! Ukiwa kihalali, basi ut-survive tuUkifany hii kaz ndio utaelewa,kiufup hawa madereva hakuna wanachopata zaidi ya pesa ya ku-survive kwa sku.
Madereva wa Uber na Bolt ni hao hao ila sema kwa sasa service zinaweza kushuka chini sababu Uber walikuwa kuna vitu wanafuatilia sana, na hii ikawa inapelekea madereva kujaribu kumantain the same level of professinalism hata waki switch kwenye app nyingineUber wamesitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA. Binafsi ingekuwa jambo la busura kuacha market forces kudetermine wanataka nini...
Kuna App za wazawa kama TANTAXI ambazo ziko vizuri sana na zingeleta mabadiliko ila watu wamekariri uber na Bolt. Uwekezaji pia lazima utazame wawekezaji wa ndani ambao gharama zao za uendeshaji sio kubwa kivile kiasi haitowalazimu kuweka kamisheni kubwa kama ilivyo kwa Bolt na Uber: TanTaxi Passenger - Apps on Google Play. Hii TanTaxi haikati kamisheni kwa sasa na wamedhamiria kutovuka asilimia 10%. Abiria anafaidika na dereva anafaidika na kupata moyo wa kutoka huduma nzuri.Uber wamesitisha huduma kutokana na regulations mpya za LATRA. Binafsi ingekuwa jambo la busura kuacha market forces kudetermine wanataka nini. Kama Uber wanachukuwa 25% na wewe unaona ipo juu basi nenda to another operator.
At the moment quality of services being provided by remaining operators and condition of their vehicles leaves much to be desired.
Hawana standards na discipline. Je kuna mtu LATRA anavuta mkwanja kuhakikisha Uber is pushed out of Tanzania.