Baada ya Uhuru kumtembelea Magufuli Chato, sasa gesi ya Tanzania itaelekezwa kuja Kenya

wewe ndo unaakili fupi. yani halima mdee aseme wakenya wafukuzwe jiwe aende akaombe msamaa? jaquar ni waziri mkuu?? usichukulie taasisi ya uraisi kama balozi wa mtaa. huo msamaa angekuja kuomba wazir wa mambo ya nje. na museven alikuja kuomba msamaa kwa kutupa ushindi wa mezani wa afcon?
hiyoo gas tulipigwa changa la macho kama tutakavyopigwa kwenywe stiglers gorge. Uhuru mtoto wa mjini kaona gas ya bwereree ataanza kuichota soon.
jiwe anaendeshwa na mihemko anaona uhuru kwenda chato ni big deal kulipo deal yenyewe.

uhuru bhana yani gas atachota na Tausi kabeba.
 
Tangu 2004 and have traveled to more than 10 countries in Africa more than you could ever dream off. Wewe niambie ushaikuea Nchi gani nje ya Tz nikuabishe hapa JF....bure kabisa.
Ukija tz nitakupokea sisi ni ndugu utakaa kwangu
 
"Politically" Kama wanaanchi wake wanauawa SA? Nipatie statistics za Wakenya wanaopitia ubaguaji wa kuuwawa SA Kama Tz...nitaresign JF.
Hata waarabu na wageni wengine walipigwa na kuuwawa pale johannesburgh kabla ya hili kuuwawa watz
 
Bado hujaongea.
Maana huna proof ya ulioongea kuwa eti gas itaenda pasi na faida.
Wee ndio unaongea kwa mihemko.
Kumbuka Alichoongea jaguar ni kitendo cha uvunjifu mkubwa wa jumuiya na amani.
Kwahvyo hili sio tatzo dogo.
Na ilifaa zaidi Rais ndio aende kuomba radhi,maana ile kitu ingetokea aloiropoka jaguar it could cost community of East Africa.
Tausi hawahusiani na uchumi wa tz.
Na usifikiri magu mjinga wa kusaini mikataba ya kipuuzi.
Kwahyo usikurupuke kusema gas itaenda bure ilhali bado hata contract haijaanza.
Halafu stiglers iko on process,waweza nambie tumepigwajwe?!
Hata kama mnaichukia ccm ila kuna sehem muwe wakweli kuwa JPM kafanya kitu cha maana.
Sio kukosoa kwa mihemko kama mnavyofanya.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hakuna rais alokuwa na mema yote au mabaya yote lakin kwa huyu jamaa kaleta kitu tofauti Tz.
Yani kagusa miradi karibuni yote ya maendeleo hapa tz.
Na katuokoa na baadhi ya hasara.
Maana km angekuwa kikwete mchumba wao mchina nahisi ile ambakati ya bandari ya bagamoyo ingetuhusu
 
Si tutabaki kusema kaja kuomba mamaa wakati mzigo unaenda kenya na wenzetu wanazidi kupaa
 


kiukweli ktk huu mtego mkiingia mkija kukutana na raisi MKOROFI ipo siku mtakuja kutupigia magoti dsm ....MNAKUMBUKA Russia huwa anawafungia GESI nchi za ULAYA kikichafuka zaidi Bac hivyo hivyo ...alafu muache kujitamba eti nyie ni developed country....wakati mnamatatizo ya energy ....kwa hilo tutawapatia maana hapa TZ tuna tegemea kuzalisha zaidi ya 2000MW
 

Wazee wa kupigiwa magoti, kiburi cha umaskini, ndio maana mnaliwa sana raslimali nyingi lakini haziwafaidi chohote nchi yote bado maskini wa kutupwa. Maana muwekeza sana kwenye ujinga wa kuwaza mambo ya undugu na kiburi badala ya kuweka maslahi ya taifa mbele.
Ndio tutawapigia magoti ilmradi tukwapue kwenye hilo shamba la bibi.....
 
SIO KWA AWAMU HII YA JPM mtaisoma namba TASA na WITIRI ivi mlivyopewa TAUSI mkajua msha muwin Subiria utajionea kivumbi kama GESI itafika 254 ikifika huko ni sawa na bei mliyokuwa mnanunulia Qatar
 
Mahindi ya Tz,
Mboga na vitunguu Tz,
Gesi ya kupikia Ugali na mboga Tz,
Na ukimaliza unywe Juisi ya machungwa ama Maembe ya Tz.
Mnacheka cheka tu na mzee wa chato mnafikiria eti yeye ni mlevi kama jitu hilo lenu. Mnaingia mkenge
Stupid tanzanian, unjisifia kuuza raw materials , na wenzio wanakazana kununua mahindi na nyie mnunue unga, you people are just stupid mlisoma wapi leo trade ya kenya to tanzania imeongezeka by 28% , kesho kenyatta atakuja tanzania na mtampa badari ya tanga, stupid tanzanians ni kama wewe
 
SIO KWA AWAMU HII YA JPM mtaisoma namba TASA na WITIRI ivi mlivyopewa TAUSI mkajua msha muwin Subiria utajionea kivumbi kama GESI itafika 254 ikifika huko ni sawa na bei mliyokuwa mnanunulia Qatar
Gesi itafika tu maana hamtaila kama chakula, hivyo lazima ije kwenye nchi yenye viwanda, la sivyo iendelee kuliwa na mabeberu. Mchague kati ya mabeberu na sisi.
 
Gesi itafika tu maana hamtaila kama chakula, hivyo lazima ije kwenye nchi yenye viwanda, la sivyo iendelee kuliwa na mabeberu. Mchague kati ya mabeberu na sisi.
TUPO hapa hapa labda TUFE lkn amini usiamini ikifika huko mtanunua kwa bei sawa sawa na ya mliyokwa mnanunulia Qatar au kama huamini subiria uone iyo project iki fail lzm mvimbe midomo labda muombe na ninyi mugundue yenu huko coast ya malindi
 
TUPO hapa hapa labda TUFE lkn amini usiamini ikifika huko mtanunua kwa bei sawa sawa na ya mliyokwa mnanunulia Qatar au kama huamini subiria uone iyo project iki fail lzm mvimbe midomo labda muombe na ninyi mugundue yenu huko coast ya malindi

Mimi na wewe ni wapiganaji wa keyboard, haya mambo ya gesi yaache, hufanywa kwenye level nyingine ambayo wewe hapo kwa buku saba za Lumumba huna ueewa nayo. Utaandika humu JF kurasa baada ya kurasa na kujaza server za watu bure, kisha uende ulale, huku wanaume wakifanya yao.
Leo hiyo gesi inaliwa mkiona na macho huku mkiapa kwenye mitandao ya kijamii. Mabeberu wanajua jinsi ya kucheza na akili zenu, hebu ona chenga la macho walilowapa kwenye hili la juzi la Acacia na Barrick.
Nyie kikubwa mnachokijua ni viongozi wenu kupigianaa simu za umbea, kuna audio za simu zimeanikwa kwenye mitandao yaani siamini viongozi wanaweza kuwa petty kiasi hicho.
 
kumbe kazi yako na ww ni UMBEA ...una amini ule umbea wa audio za ku fake ? hauzijui siasa za TZ ww we kula chapooo ukisubiria gesi toka mtwara ije nairobi mpaka 2060
 
kumbe kazi yako na ww ni UMBEA ...una amini ule umbea wa audio za ku fake ? hauzijui siasa za TZ ww we kula chapooo ukisubiria gesi toka mtwara ije nairobi mpaka 2060
Hivyo Makamba ametenguliwa kisa umbea.
 
Hivyo Makamba ametenguliwa kisa umbea.
usipende kusikia upuuzi ww !! sikio lako litakuwa kinasikia upuuzi tu milele let them enjoy their private life at their mansion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…