Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Uwanja wa Mkwakwani ulikuwapo tangu enzi za Uhuru. Mwaka 1973 au 1974 ulitumika kwenye mashindano ya Taifa Cup. Cha kushangaza siku hizi unaitwa uwanja wa CCM Mkwakwakani ilihali CCM yenyewe ilizaliwa mwaka 1977.
Majuzi nimesikia kuwa serikali inaufanyia ukarabati uwanja huo; je baada ya ukarabati bao uwanja utabaki kumilikiwa na CCM au utarudishwa kwenye Halmshauri ya jiji la Tanga ambayo ndiyo lilikuwa linaumiliki kabla ya kuporwa.