GE2025 Baada ya Ummy Mwalimu kukatwa "Tutapigia Upinzani Kura si CCM"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkisikilizwa hiki kilio chenu bac demokrasia ya nchi imekua.... Na hataka km hamuipigiii kura CCM hakuna kitu kitatokeaa
 
Hi ni dharau kwa wajumbe .........wapige kura halafu wewe unawachagulia unayemataka.
 
ANDIKAAAA TAR YA LEOO..SAAA NA DK

AKISHINDA UPINZANI JIMBO LA UMMY

NAHAMAA NCHI....

KATI YA MAMBO CCM AIKOSEI NYALE MAJIMBO WALIOKATWA WATU WAOO NDUGU LAXIMA WAYACHUKUE
 
Upinzani upi huo?
 
Mwaka huu watu watauwana huko majinboni. Ingekuwa ni wafuasi wa upinzani na ndani wangeweka kwa kosa lakukataa uwongonzi uliopitishwa
 
Kwani nani atapiga kura Octoba... Nani wa kupoteza muda... Mawabunge na Madiwani si tayari wanajulikana...???
 
Huwezi kumkata January then Ummy mwalimu alafu Ummy ni mchapa kazi Dada yule anapiga kazi sana ana mapungufu kama wanadamu wengine
Hayo mapungufu ndo yamefanywa akate.
😂😂😂😂😂
 
Wanamuharibia mwenzao atakosa Sasa hata ukuu wa mkoa au wilaya
 
Kusema ukweli kuwa Samia anautwika ndiyo anaadhibiwa hivi.
Just imagine maza anapiga ile kitu halafu anaanguka anguka......Hiyo ni noma sana. Kama angekuwa anautwika pale Ikulu Chamwino ingekuwa noma sana, angebingirika hadi bondeni.....Kwa Ikulu ya Dar ingekuwa poa, ipo flat. Watekaji msiniteke natoa tu mawazo yangu......Haki yangu ya msingi.
 
Hata waspopigia ccm Bado itashinda ,hii ni sawa na Mandonga ukipigia kuara kitashnda na uspopigia kura pia kitashnda
 
Na ndiyo maana hataki kukaa Dodoma
 
A leap of faith. Wanaitisha CCM kwa vikaratasi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…