ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Inaonekana wanawake hata ukienda nap kavukavu wenyewe wanakuwa na uhakika hawajali cha mimba Wala UKIMWI. Ukimuhitaji kavu unamnasa na ukitaka condom hawapendelei ni kama vile watatuua.
Tunaendelea kuona wanaume wakishafanya mapenzi kavu tu maswali yafuatayo ni je nimeambukizwa ngoma moja kwa moja asee waga tunakwama kifo cha UKIMWI sio njia nzuri wadau mnafahamu vizuri ila tatizo wakina dada wanaona UKIMWI ni kama malaria watu wanavua bikini kwa buku tano kaeni kimachale wadau utapewa kitu kikushinde.
Tumeshikwa hatuna ujanja ukiitiwa fursa ujue wewe ndo fursa kavu kavu ni balaa. Kufichinyiwa kwa ndani toba weeeeeee!