Baada ya ‘unsafe sex’ wanawake wengi hawajutii

Juzi nipo na demu faragha, nikitaka kuzamisha mkuyenge kavukavu anaonesha ushirikiano, nikivuta pakti ya condom anaanza oooh baby tufanye siku nyingine, wanawake saa zingine sijui hua wanafikiria nini yaan...
Alitaka mfe wote..ukiona hivo ujue ameshajikatia tama
 
Atii?
 
Atii
Nipo huku mbinguni naona Mungu anatembelea jf anacheka kweli 🥴
Dahhhhh!
 
Ni majuzi tu mpaka nataka kupeleka mkuyenge mtu haulizii ndomu,na ndio mara ya kwanza. Ila nikakumbuka nikavaa. Ila mpaka now najiuliza kwanini hakuulizia.
Mademu wengi huwa hawaulizii ndom wala nini, unashangaa amekitegesha tu kazi kwako kusuka ama kunyoa. Wauza K ndio wanakua makini sana kwenye maswala ya ndom
 
Kwahili la kavu kavu wanawake wamejaa ujasiri, chakushangaza maumbile yao ndio yapo kwenye risk kubwa ya kupata maambukizi kuliko wanaume lakini hawana hofu!
 
mwandishi anapiga sana mademu wa buku tano! wanaojielewa hawapo hivyo angalia aina za mademu unaokutana nao
 
Unavaa ndom siku ya kwanza, ya pili na ya tatu. Baada ya hapo ni nyama kwa nyama.

Wenye vibamia hapo wanachukua 3points na mpira wanabeba kabisa, no friction, enough lubricant...no problems [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna utelezi wa kutosha hakuna haja ya hofu, maana ukimwi nao unaangalia na mtu wa kumpa ukianza kuonesha wasiwasi tu ni rahisi kuupata pia.
🤣 🤣 kwamba UKIMWI ni kama MBWA ukionyesha wasiwasi anakung'ata
 
Mimi ndo maana huwa nawashangaa watu wanaosema mademu wanaojiuza wanaongoza kusambaza ukimwi..huu ni uongo kabisa,
Wanaojiuza wako makini sana na kinga ila hawa dada zetu wa kitaa ni mwendo mdundo tu. Wanadai condom zinawachubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…