Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Baada ya watu kutoka lockdown iliyoshababishwa na corona kulipelekea watu kuwa na hela nyingi huku uzalishaji production ikiwa chini kilichotokea ni inflation kuwa juu karibia nchi zote dunia
Marekani kama taifa lenye uchumi mkubwa waliamua kupambana na inflation kwa kupandisha interest rate kama initiative za contraction monetary policy ili kupunguza dollar kwenye circulation kama njia ya kupunguza overheatting ya uchumi wao
Madhara ya contraction monetary policy yameanza kuonekana kwenye bank za marekan nyingi ziko katika hali mbaya baada ya kupandishwa kwa interest rate,
Madhara mengine ni kuadimika kwa dollar kama ilivyo sasa, dollar imekua hadimu sana kutokana na us federal reserve kupandisha interest rate
Kwa nchi zinazotegemea import kama tanzania price of import itaongezeka huku nchi zinazotegemea export na wanatumia dollar watafaidika sana
Suluhisho ni us federal reserves wasitishe mpango wao wa kuendelea kupandisha interest rate ili kutoendelea kuleta ugumu kwenye uchumi wa dunia
Kumbuka dunia nzima inafuatilia kwa umakin sana us monetary policy sababu ziko sensitive sana na uchumi wa dunia