Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 26, 2023 #1 Baada ya kutengulia Basila Mwanukuzi alisema haya.... - Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo 1. Tickson Nzunda Alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi. 2. Prof. Abel Makubi Alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya. 3. Omary Mgumba Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
Baada ya kutengulia Basila Mwanukuzi alisema haya.... - Basilla Mwanukuzi: Wakweli hawatakiwi nchini. Uongozi wangu ni kuweka maslahi ya wananchi mbele hata ikibidi kukosa cheo 1. Tickson Nzunda Alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi. 2. Prof. Abel Makubi Alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya. 3. Omary Mgumba Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga.
G goodluck5 JF-Expert Member Joined Jan 8, 2014 Posts 7,092 Reaction score 11,613 Feb 26, 2023 #2 Mama anateua anaoendana nao. eti mwsna fa naye ni waziri mdogo.. DUh bongo sihami!.
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Feb 26, 2023 Thread starter #3 goodluck5 said: Mama anateua anaoendana nao. eti mwsna fa naye ni waziri mdogo.. DUh bongo sihami!. Click to expand... Mkuu, mambo ya kitaifa hayahitaji mahaba
goodluck5 said: Mama anateua anaoendana nao. eti mwsna fa naye ni waziri mdogo.. DUh bongo sihami!. Click to expand... Mkuu, mambo ya kitaifa hayahitaji mahaba