Baada ya Uwoya kuonekana ameolewa, mume wake ajibu mapigo

Hivi kumbe wanaume nao wanahangaikaga hivi wakiachwa
 
Kama anaona wivu na yeye atafute bwana aolewe, iwe ngoma droo
 
Watu wapekenyuku dah kweli kibo yaani hii ni Sawa Sawa na mwizi anaiba usiku wa manane haonekani lakini ukiingiza tu mwanamke hata nusu saa akae Tu na kutoka watamuona
 
Watu wapekenyuku dah kweli kibo yaani hii ni Sawa Sawa na mwizi anaiba usiku wa manane haonekani lakini ukiingiza tu mwanamke hata nusu saa akae Tu na kutoka watamuona
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] ya walimwengu hayo mkuu
 
Hamna kitu kibaya kama mashindano, mara vijembe hayo ni mambo ya kitoto mnoo!!! Kimya ni jibu tosha
Kunywa maziwa fresh nalipa mm dada[emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ndikumana alikosea sana kuoana na Uwoya sijui aliwaza nini.. Kwa anayemfahamu Uwoya atathibitisha hii kauli yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…