Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
798
Reaction score
2,028
Week hii zimevuja sex video za Msanii mkubwa Africans Nigerian singer Tiwasavage ,akiwa na boy friend wake.

Hata hivo bado exactly ajajulikana nana kavujisha, licha ya video kurecordiwa na wao wenyewe.

Baada ya kuleak video hizo blogs ,social network, fanpage zote zimekuwa zikimfariji star huyo, na ku discourage usambazi wa video hizo.

Hiyo imekuwa tofauti sana pages, blogs, you tube channels, nchini kwetu ambazo huwa sema ,huwaponda ,kusambaza leaked video za wahanga kadhaa ambao ni public figure ndani ya Tz.

Bila kujali licha accident hizo maisha lazma yaendelee.


IMG_20211020_080433.jpg

IMG_20211020_080750.jpg

IMG_20211020_082944.jpg

IMG_20211020_083002.jpg
 
Mbona kuwadharau Watanzania wenzio? Kwani aliyerecord izo video ni mtanzania? Aliyesambaza ni Mtanzania?

Wanyengane wao, wasambaze wao, alafu wawe wastarabu tena kutuzidi?

Kama wangekuwa wastarabu hao wanaijeria basi Mimi na wewe Leo tusingekuwa tunazungumzia habari za iyo video hapa. Izo zinazoendelea huko ni pole za kinafiki. Mtu anakupa pole alafu anachungulia mzigo kidogo
 
Back
Top Bottom