Baada ya video kuvuja utofauti wa Nigeria social network vs Tanzania waonekana

ivi kwann wasinge tafuta simu yenye camera nzuri hawa mbwaa! tunashindwa kuona kwa ufasaha alaah😅
 
Tofaauti kubwa ni elimu kati yetu na nigeria ,wachache aana wanaeza kusoma na kuelewa mijadala ya forums za nje

Mwalimu nyerere alitupa kilema kikubwa sana pale alipokikuza kiswahili kuliko lugha ya malkia , ni kweli kama taifa tunawasiliana bila shida au mipaka , lakini linapokuja swala la international standard watanzania tupo kama mabubu maana wachache sana wanaeza kufanya na kuelewa mijadala kwa lugha ya malkia .
 
Reactions: Qwy
Analia vizuri sexually.

Ila nashindwa kukubali kuwa yule ni Tiwa. Sura ni kama zimefanana tu.

Vazi the same. Rangi za kucha the same. Lakini sura mbona amekuwa ugly that much?

-Kaveli-
 
Matola upo mzee
 
Ukiunganisha matukio vizuri unakuja kugundua ile video na uvujishaji aliupanga demu mwenyewe
Imekula kwake maana kampuni nne zilizokuwa zinamtumia kama balozi wao tayari zimevunja mikataba naye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…