Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tulishasema humu mara kadhaa kwamba Viongozi wa Nchi hizo hawana uwezo wa kutatua chochote zaidi ya kuiba kura na kusimamia mauaji ya wanasiasa wa upinzani.
Hebu angalia kilichofanyika Kwenye kikao chao cha DSM, haieleweki hata walichokifanya, Najuta kwa mkutano huu kutusababishia foleni bila sababu ya msingi.
Sasa viongozi wa Dini wa DRC wameingilia kati na kuamua kumaliza mgogoro huo, na kwa kuanzia wameamua kukutana na Waasi wa M23.
Hawa hapo