Baada ya Vyombo vya Kikatiba kushindwa kusimama kwenye nafasi zao hatimaye TLS yafanikiwa kuwa chombo pekee kinachosimamia misingi ya Kikatiba

Ila tusali sana na tuhakikishe vyombo vya dola visimamie hili ili tuwe na mifumo imarq itakayohakikisha nchi yetu inakuwa imara na salama kwa muda mrefu na miaka mingi huko mbeleni!
Mpaka tuchaniane mashati kama Kenya ndio Kila kitu kitanyooka
 
Kwani TLS haijafutwa mpaka sasa? Rais anasubili nini kukifuta hiki kikundi cha wahuni
 
Chama changu CCM kinakosea sana kuangalia kwanza maslahi yake badala ya maslahi ya Taifa. Na wasipodhibitiwa na vyombo vya dola wanaweza kuja kulipasua hili taifa huko mbeleni!
Kwani hivyo vyombo vya dola vinawekwa na nani?
 
Chama changu CCM kinakosea sana kuangalia kwanza maslahi yake badala ya maslahi ya Taifa. Na wasipodhibitiwa na vyombo vya dola wanaweza kuja kulipasua hili taifa huko mbeleni!
Vyombo vya dola ni kama vimeshacompromise na ccm. Na sababu hasa ni cheo cha mwenyekiti wa ccm kuwa rais wa nchi. Hapa kikatiba rais ndio anamteua CDF, hivyo ni lazima amuwekee atakayelinda maslahi yake na chama chake. Kwakuwa hicho cheo kina ulaji mwingi, hakuna uwezekano wa CDF kwenda kinyume na matakwa ya rais bila kujali katiba inasema nini.
 
Kikwete alikuwa mwana demokrasia kweli ila tabia za kutoheshimu Katiba na mifumo ya Katiba zilianza kuota mizizi kipindi chake.
Never form an alliance or put your trust in a dictator. Atakuaibisha tuu mda ukifika. Looking back you realize you got nothing to be proud of.

JK hakuwa Kiongozi mwenye maono. Alikuwa kiongozi mvumilivu, pale alipolazimika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…