Baada ya Wamachinga, Nahisi mlioko Bondeni mtabomolewa. Jiandaeni!

Baada ya Wamachinga, Nahisi mlioko Bondeni mtabomolewa. Jiandaeni!

MTV MBONGO

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2016
Posts
1,281
Reaction score
1,251
Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni.

Tafuteni mbadala mapemaaaaaa.
 
Sasa Zamu ya Wanyongwe nao kuisoma namba, Si walishangilia sisi Matajiri Kulimia meno
 
Kutesa kwa zamu, kuna mmoja kipindi fulani alikuwa anaitwa Mheshimiwa lakini sasa hivi ni mfungwa na bado anamashtaka mengine anatakiwa kujibu.. Wamachinga walikula bata kipindi cha JPM na wenyepesa kadhaa walipata tabu, sasa shilingi imegeuka.
 
Back
Top Bottom