MTV MBONGO JF-Expert Member Joined Feb 18, 2016 Posts 1,281 Reaction score 1,251 Oct 19, 2021 #1 Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni. Tafuteni mbadala mapemaaaaaa.
Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni. Tafuteni mbadala mapemaaaaaa.
Prince Kesh Jr JF-Expert Member Joined Jul 21, 2018 Posts 652 Reaction score 1,573 Oct 19, 2021 #2 MTV MBONGO said: Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni. Tafuteni mbadala mapemaaaaaa. Click to expand... Wacha tuisome namba wote😊
MTV MBONGO said: Wamachinga sasa wanataabika, Bondeni mtabomolewa muda siyo mrefu, jiandaeni. Tafuteni mbadala mapemaaaaaa. Click to expand... Wacha tuisome namba wote😊
Bird Watcher JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 3,151 Reaction score 6,261 Oct 19, 2021 #3 Sasa Zamu ya Wanyongwe nao kuisoma namba, Si walishangilia sisi Matajiri Kulimia meno
Mr Spider JF-Expert Member Joined Feb 28, 2020 Posts 1,773 Reaction score 3,201 Oct 19, 2021 #4 Roadmap said: Sasa Zamu ya Wanyongwe nao kuisoma namba, Si walishangilia sisi Matajiri Kulimia meno Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Roadmap said: Sasa Zamu ya Wanyongwe nao kuisoma namba, Si walishangilia sisi Matajiri Kulimia meno Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mr Spider JF-Expert Member Joined Feb 28, 2020 Posts 1,773 Reaction score 3,201 Oct 19, 2021 #5 Kutesa kwa zamu, kuna mmoja kipindi fulani alikuwa anaitwa Mheshimiwa lakini sasa hivi ni mfungwa na bado anamashtaka mengine anatakiwa kujibu.. Wamachinga walikula bata kipindi cha JPM na wenyepesa kadhaa walipata tabu, sasa shilingi imegeuka.
Kutesa kwa zamu, kuna mmoja kipindi fulani alikuwa anaitwa Mheshimiwa lakini sasa hivi ni mfungwa na bado anamashtaka mengine anatakiwa kujibu.. Wamachinga walikula bata kipindi cha JPM na wenyepesa kadhaa walipata tabu, sasa shilingi imegeuka.