Baada ya wamachinga, ufuate upangaji upya wa jiji zima la Dar

Baada ya wamachinga, ufuate upangaji upya wa jiji zima la Dar

Jerlamarel

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2021
Posts
843
Reaction score
2,525
Jiji la Dar limekaa vululuvululu sana, watu wamejijengea tu nyumba bila mpangilio wa kueleweka. Ni sehemu chache sana za mji hasa za katikati ya jiji ambazo ndizo zimekaa inavyopaswa.

La sivyo hizi mbwembwe za kuwafukuza wamachinga ni just a temporary solution to a permanent problem.

dar-es-salaam-from-air-tanzania-africa-BYRKXJ.jpg
 
Back
Top Bottom