Baada ya Wamarekani kupagawa. Waafrika waanza kupagawishwa na Tanzania

Baada ya Wamarekani kupagawa. Waafrika waanza kupagawishwa na Tanzania

Hehehe, Mbongo mshamba amegundua watu hutembelea nchi na kufanya positive reviews on Youtube. Yani mnafurahishwa na vitu vidogo vidogo. Halafu msichana mwenyewe ameongelea tu Kiswahili, hajaongelea Tanzania as a country kivile. Alafu kwa hizi reviews za Tz lazima mtu aongelee Kenya lakini za Kenya hutaskia bongo ikitajwatajwa. Inaonyeshwa vile Kenya ndio babayao hii region. I like the fact that they see us as fast paced people. 🤣🤣
 
am just hearing Kenya Kenya Kenya everywhere😄😄😄must she mention Kenya for the interviewer to recognize Tanzania?
 
Back
Top Bottom