Hehehe, Mbongo mshamba amegundua watu hutembelea nchi na kufanya positive reviews on Youtube. Yani mnafurahishwa na vitu vidogo vidogo. Halafu msichana mwenyewe ameongelea tu Kiswahili, hajaongelea Tanzania as a country kivile. Alafu kwa hizi reviews za Tz lazima mtu aongelee Kenya lakini za Kenya hutaskia bongo ikitajwatajwa. Inaonyeshwa vile Kenya ndio babayao hii region. I like the fact that they see us as fast paced people. 🤣🤣