Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
hiyo TV imefanya vizur kila kona zipiBaada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya TZ sasa Wasafi FM Coming soon,ila huku sasa kwenye radio station ndo kwenye ushindani halisi,ngoja tuoneView attachment 919856
hamkosekani watu kama nyiehiyo TV imefanya vizur kila kona zipi
tushawazoea nyie watulabda kila kona ya chumba chako cha kupanga
hamkosekani watu kama nyie
Ha ha ha...labda kila kona ya chumba chako cha kupanga
labda kila kona ya chumba chako cha kupanga
Naunga mkono hojaMi hiyo tv ya wasafi sijaona impact yake for sure.
Nikuulize swali hiyo redio au TV inaweza ikapiga nyimbo za rich mavoko?
Wasafi hawana jipya eti wanaturushia birthday ya Diamond rubbishBaada ya Wasafi TV kufanya vizuri kila kona ya TZ sasa Wasafi FM Coming soon,ila huku sasa kwenye radio station ndo kwenye ushindani halisi,ngoja tuoneView attachment 919856
kama wanapiga za Ali,who is Mavoko?Mi hiyo tv ya wasafi sijaona impact yake for sure.
Nikuulize swali hiyo redio au TV inaweza ikapiga nyimbo za rich mavoko?
Watu kama nyie muwe mnajitafakalilabda kila kona ya chumba chako cha kupanga
Habari wanayo,il wanajifanya vichwa maji tuWasafi tv ndio inayoongozwa kwa kutazamwa na haijaanza vipindi rasmi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kuwa na j2 njema[emoji122]labda kila kona ya chumba chako cha kupanga
hahaa .. jf bwanalabda kila kona ya chumba chako cha kupanga