Baada ya watu kumtukana mtoto wa Kajala huko instagram, Kajala aamua kufunguka na kusema haya

Huyu ana miaka 11?, binti yangu ana miaka 11, mbona wakwangu bado anaonekana mdogo sana na yuko darasa la 6, huyu yuko form ngapi? Tyta

Anaonekana km yuko 4m two, miaka 11 ? Au ndo vyakula vya supermarket.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ana miaka 11?, binti yangu ana miaka 11, mbona wakwangu bado anaonekana mdogo sana na yuko darasa la 6, huyu yuko form ngapi? Tyta

huyu miaka 11? mmmhmmm!!!! ni 13 au 14 bana tusidanganyane
 
Binti anaonekana tayari kashaharibika kabla hata hakajafika 20.
Ama kweli mtoto umleavyo...
 
Huyu binti ni mdogo miaka 11 ni sawa. Ila pamba alizopiga na pozi aliloweka ndio linawafanya muone mkubwa.
 
Huyu ana miaka 11?, binti yangu ana miaka 11, mbona wakwangu bado anaonekana mdogo sana na yuko darasa la 6, huyu yuko form ngapi? Tyta

Yuko shule ya Sunrise primary ipo nyuma ya Hospitali ya AAR pale morocco, huyu mtoto ni mdogo maana tangu anazaliwa alikuwa anasikika na hata kwenye interview na majarida aliyohojiwa Pfunk alikuwa anamtaja enzi hzo wala sio mkubwa kama mnavyodhani.
 
Last edited by a moderator:
May be 16 au 15 ninaweza kuamini kidogo

16/15 inamaana alizaliwa late 19's sio kweli huyu dogo tangu kanazaliwa enzi zile wasoma magazeti ya udaku enzi hizo Maisha, kasheshe,Komesha,Ijumaa kalikuwa kanaandikwa na hiyo ilikuwa early 2000's hata jarida la bang kati ya miaka ya 2006-2008 kama sikumbuki ila within those years, alitolewa akiwa na wazazi wake enzi hizo akiwa mdogo na wazazi wake wote kabla hawajaachana.
 
Khalifan Majani naona umekuza! Sasa nadhani heshima itaongezeka na kumega kisela itapungua au sio Superdupa producer?
 
Kwa umri may be mtoto ila kimatendo na malezi ni mkubwa...
 
Mmmh! Labda, manake tunatofautiana kulea na kulisha watoto, mie mwangu yuko drs la 6 na ana miaka kumi na 11, kwanza hata hafanani na hilo darasa la sita, unaweza dhani ana miaka 8 au 9 na pengine yuko darasa la 3 au la nne.

Basi kwa umbile lake na umaarufu wa wazazi kataanza mambo ya kikubwa mapema sana haka kabinti

Yuko shule ya Sunrise primary ipo nyuma ya Hospitali ya AAR pale morocco, huyu mtoto ni mdogo maana tangu anazaliwa alikuwa anasikika na hata kwenye interview na majarida aliyohojiwa Pfunk alikuwa anamtaja enzi hzo wala sio mkubwa kama mnavyodhani.
 
Nakumbuka tuzo za mwaka 2003 majani alipewa lakin hakuwepo na wakasema hayupo kwasababu yupo hosptal mkewe kajifungua..
So m naamini ana miaka 11..

Mnaobisha mmeijua bongo fleva juzi..

Licha ya bongo fleva juzi tu na bado hawajui chichote nakuendelea kubisha reality... Hata me nakumbuka hiyo siku niliangalia tho sikukumbuka mwaka hani coz nilikuwa bado sio mkubwa kivile but nilikuwa mfatiliaji sana wa mziki na tuzo pamoja na miss tanzania zilikuwa hazinipiti na hapo ndipo nilipokuwa namjua Kajala tangu nipo primary.
 
Yup ndo hivyo kuna wenye miili midogo ukiambiwa yuko la 6 utabisha na pia kuna wenye miili mikubwa kama Paula ukiambiwa yupo darasa hilo utabisha.. Ila Paula sio mkubwa huyo dogo anafumuka tu ana mwili kama mamaake ila kazaliwa 2003.
 
Reactions: ram
Poa qn......

Yup ndo hivyo kuna wenye miili midogo ukiambiwa yuko la 6 utabisha na pia kuna wenye miili mikubwa kama Paula ukiambiwa yupo darasa hilo utabisha.. Ila Paula sio mkubwa huyo dogo anafumuka tu ana mwili kama mamaake ila kazaliwa 2003.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…