Tuipe masikio kisha tuchambueKweli hiyo ni bajeti ya bunge na sio ya wananchi
😂 😂 😂 wenda bongo zetu hazihifadhi taarifa tumesahau kiongozi na awamu ya serikaliEti Kila mara ..... Serikali ya awamu ya.....inayoongozwa na ..........
Nani hajui kama hii serikali niyaawamu ya ngapi, nani hajui kama Rais ni nani?
Mwenye akili timamu hawezi kutumia maneno hayo
Yaani machawa wanabuni vimaneno maneno😂 😂 😂 wenda bongo zetu hazihifadhi taarifa tumesahau kiongozi na awamu ya serikali
Nenepa wewe mkuu. Mimi najua anasifiwa ng'ombe au nguruwe akinenepa na sio mtuWATU MNAUMIA SANA BAJETI MUJARABU YA RAIS WETU MPENDWA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN IKISOMWA MTAKONDA BURE JUST RELAX
Hawa sisiem wanakifu kama pilau la sikukuu.Eti Kila mara ..... Serikali ya awamu ya.....inayoongozwa na ..........
Nani hajui kama hii serikali niyaawamu ya ngapi, nani hajui kama Rais ni nani?
Mwenye akili timamu hawezi kutumia maneno hayo
Medulla oblongata haipo sawa kwa mtoza ushuruSijui anasoma risala au anasoma bajeti huyu chizi aki.