Baada ya Wema kuikacha party ya Idriss aomba msamaha kupitia mtandao wa instagram

Ndo mastaa wetu walivyo wanaona wakitokea wanapromote sana kazi za wenzao bila malipo wakati malipo ni ushirikiano walionao.
Halafu angeomba msamaha kimya kimya maana kwenye event idriss alisema wema kapata safari ya dharura ila wema akaja kuharibu kusingizia fundi aliharibu nguo.
True what she did isn't fair at all

Idriss anajitoa sana kwa wema,mi nakataa kusema et nguo iliharibiwa!!wema ana dharau sana hapend kutokea kwenye event za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
True what she did isn't fair at all

Idriss anajitoa sana kwa wema,mi nakataa kusema et nguo iliharibiwa!!wema ana dharau sana hapend kutokea kwenye event za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli event za watu nyingi huwa haendi... Hapa anajitetea tuuu ila angekua na nia ya kwenda siku mbili kabla angefanya fitting sio kusibiri eti saa mbili usiku

Na kama alijua kuna event siku anashona nguo za premier yake angeshona na ya idris kabisaaaaaa.
 
Hakua na nia ya kwenda tu bas wala asisingizie nguo na dharau pia inachangia
 
Achana na migegedano , mtu anaweza omba sorry hadi picha [emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…