Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,352
sasa hapa wema kaingia vipi wewe mtoa mada?na unaposema wasanii wabongo hamnazo unamaanisha nini ndugu???mwenzako shoo mbili tu kumi na sita mfukoni.....au unataka kusema ni ujinga kuingiza hela yote hiyo???
Nauliza Wema anahusikaje na huu mkataba..........Hujanijibu swali langu bado..........
Mkataba aingie Almasi kumwagana na Wema kunatoka wapi sasa????
mbaya sana kutaka kumshindanisha mtoto wa kiume na wa kike!!!!!kushindana na binti kama wema kimafanikio ni kushindana na wafanyabiashara wa kiarabu na baadhi yaviongozi wa serikali indirectly!........platinumz hashindani na wema ila watu wanapamba!hawa watu wanapendana na haya mambo yote wema anayafanya kwa kupanic halafu mnyamwezi Almasi hana habari!