habar wapendwa?imekua ikinitokea mpenz wangu anakaa mji tofaut na wangu anapokuja huwa ni kuduu mwanzo mwisho huwa sitoki ndan baada ya wiki huwa naishiwa nguvu naweza hata jogoo ashindwe panda je nina tatizo gan hapo?

Wewe mtoto mbona una maajabu, week nzima yaani siku saba mnajifungia ndani mna-do tu? Hakika wewe ni kidume cha mbegu huyo jogoo huwa anakuwa likizo tu, huna tatizo lolote..!