Baada ya wimbo wa "Wanatuona Manyani" kufungiwa, mwingine ajitoa muhanga na "Joka la Kijani"

Papasa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2018
Posts
2,619
Reaction score
5,780
Baada ya wimbo wakuitwa "Wanatuona Manyani" kufungiwa na mwimbaji kuwekwa ndani, sasa kuna msanii mwingine anaeitwa Chief Son kajitoa muhanga na wimbo wakuitwa "Joka la Kijani".

Humo ndani msanii Chief Son anasema namnukuu kwa uchache, Tanzania sio maskini tatizo ni joka la kijani. Joka la kijani linazidi kutuvutia shimoni, joka la kijani linazidi kututia umaskini, joka la kijani tunapaswa kulitoa madarakani.

Zaidi unaweza kutazama wimbo huo hapo chini.

Your browser is not able to display this video.
 
Huyu jamaa ananikumbusha Miaka ile ya Justine Kalikawe dah Mambo ya 'panapovuka moshi'
 
My country people.
 
Poli ccm kazi wanayo.
 
Asnte mungu, mwamko umeanza
 
Hehehe
 
Huu ni utani wa kisiasa tu. serikali ijikite kwenye mambo ya msingi.

Siasa wawaachie Chadema na Ccm
 
Wimbo haujataja mtu
Sasa tuone watakavyojishtukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…