A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,433 Reaction score 8,585 Oct 17, 2022 #1 Jana nilimuua yanga na Mungu si Athumani mkeka ukatiki, lakini mpaka muda huu masaa 20 yamepita Sportpesa wameshindwa kusasisha matokeo ya mechi hiyo ili kuwezesha wateja kulipwa.
Jana nilimuua yanga na Mungu si Athumani mkeka ukatiki, lakini mpaka muda huu masaa 20 yamepita Sportpesa wameshindwa kusasisha matokeo ya mechi hiyo ili kuwezesha wateja kulipwa.
mbwe JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 1,174 Reaction score 2,912 Oct 17, 2022 #2 Abas talimba ni hovyo Sana huyu mzee,unaz unamuharibu sana
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Oct 17, 2022 #3 Laki mbili hizo
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,433 Reaction score 8,585 Oct 17, 2022 Thread starter #4 mugah di matheo said: Laki mbili hizo Click to expand... Babakimya mpaka muda huu yaa i kaksirika timu lake kupigwa
mugah di matheo said: Laki mbili hizo Click to expand... Babakimya mpaka muda huu yaa i kaksirika timu lake kupigwa