Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu

Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu

isackkallindi

Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
25
Reaction score
21
Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu

Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na Mgambo Jkt, Mgambo Amekuwa Wa Record Nzuri Kwa Simba Kuanzia Msimu Ulio Pita

Simba Vs Mgambo Jkt

Utabili Wako
 
Kushinda kwa tabu kivipi ? Tuongee lugha za michezo sasa ebu tupe statistics kamili za mchezo mzima. Tuone kama kweli yanga alishinda kwa tabu.

NB: Yanga sasahivi Haina tofauti na rais mteule wa nigeria kashashinda so anasubiri protocol tuu akabidhiwe urais wake. KWAHIYO UNAPOITAJA YANGA UWE NA ADABU TANGULIZA BINGWA MTARAJIWA
 
Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu

Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na Mgambo Jkt, Mgambo Amekuwa Wa Record Nzuri Kwa Simba Kuanzia Msimu Ulio Pita

Simba Vs Mgambo Jkt

Utabili Wako
Thread kama hizi zinafunguliwa na wateja wa mbeya city au ukipenda unaweza kuwaita wahapa hapa....

Utabiri wa mechi ya kesho simba vs mgambo.
Simba 1-2 mgambo.
 
Wewe utakuwa ni MNYAMA tu kama mnavyojiita???
 
mikia 0-3 mgambo... halafu muendelee kuwakuza watoto wenu.
 
Back
Top Bottom