isackkallindi
Member
- Jan 10, 2014
- 25
- 21
Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu
Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na Mgambo Jkt, Mgambo Amekuwa Wa Record Nzuri Kwa Simba Kuanzia Msimu Ulio Pita
Simba Vs Mgambo Jkt
Utabili Wako
kocha chizi faulo hakuiona
Thread kama hizi zinafunguliwa na wateja wa mbeya city au ukipenda unaweza kuwaita wahapa hapa....Baada Ya Yanga Kushinda Kwa Tabu Kwa Goli 3 Kwa 2, Kocha Wa Stand United Asema Yanga Walibebwa Na Refa Kwa Kupewa Penalt Ya Bure Tu
Kesho Kama Kawaida Simba Sc Wataingia Uwanjani Kucheza Na Mgambo Jkt, Mgambo Amekuwa Wa Record Nzuri Kwa Simba Kuanzia Msimu Ulio Pita
Simba Vs Mgambo Jkt
Utabili Wako
Wewe utakuwa ni MNYAMA tu kama mnavyojiita???
Ina maana umezaliwa mwaka 2008!!?Mimi Nipo Azam Fc