Baada ya yanga timu yangu ni Real Valladolid

Baada ya yanga timu yangu ni Real Valladolid

Vitalis Msungwite

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2014
Posts
3,292
Reaction score
7,867
Sijui ni kitu gani kilinikumba mwanzoni mwa msimu wa soka wa 2018/2019. Mwanzoni nilikuwa nashangilia timu inayoshinda tu kwa upande wa ulaya. Watu walikuwa wakibishana juu ya timu zao lakini Mimi ni yanga tu!!!. Kuingia kwa timu ya real Valladolid kule ulaya ndo kumenifanya nipate timu ya kuishangilia.

Ubaya wa timu ninazoshangilia zote zinafanya vibaya kwa siku za hivi karibuni lakini ndio mpira.
 
.
unnamed.jpeg
 
Back
Top Bottom