Baada ya yote

naasema jamani nnna madogo nyumbani mwacheni jaamaaa jama jamani mbona matata nyie kiivooo msimtise mwenzenuuu....
Mpe maneno Dena Amsi nadhani haelewi.
 
Myumba Ndogo kamuulize Mahita-ji lafu akupe salamu zake ndipo uamue, maana cha moto alikipata
 
Natafuta nyumba ndogo nzuri kabisa
Anayehitaji tuwasiliane PM

πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:

sasa nani anahitaji nyumba ndogo????
unauza au unatafuta?
sio gharama sana kujenga lakini jenga tu kisha niuzie
 
rrrrrrsssseeeee hebu toka apa na kijicho chako....hajakudondokea jammma nshamualika tanga huyu ni mali yawatu tena keshakuwa bwanshemegi...:A S angry:tutagombana leo humu ndani pashakua hapatoshiiiii
kuwa makin haimaanish kuna cha ajabu.
 
sasa nani anahitaji nyumba ndogo????
unauza au unatafuta?
sio gharama sana kujenga lakini jenga tu kisha niuzie

Haya nshamwaga kokoto kwa ajili ya jamvi
 
kimbwekaa???bwanshemeg???mbona skupatiii???waskutishe bbbannna.....watanga hua hawanyonyi fweza kkkivvvooooo...rudi bana...
 
RRROSE,,,, NATA,,,, KATEBE,,,, Nasema mshamwaga vumba la babu wa kizaramu hapa bwanshemegi wangu mumpeleka waaapiii????jamani???
 
naona umenza kuchakachua roho yako mwenyewe usiryudi na story nyingine hapa tamu na chungu ya nanasi ajua mlaji shaurilo ndugu
 
kimbwekaa???bwanshemeg???mbona skupatiii???waskutishe bbbannna.....watanga hua hawanyonyi fweza kkkivvvooooo...rudi bana...

Nipo mkuu netiweki yako inavuja nini?
 
Oo oo mwazidi jamani sasa mi nimekaa kuwazuia lakini mwapita...haa
 
Aaaaaaa umerudi haya umewasoma yakhe hao wanaitwa visokorokwinyo weee usiskie kitu na chunga na mama big akiikamata thred yako umekwisha mana kwa waume za waatu huyooo...sasa baba nijumlishe mengine tutamaliza kisiri si ukumbini lakin mke umpata yakhhe....
nipo mkuu netiweki yako inavuja nini?
 
Uspate shida yakhee, nansubirii hiyoo mama Big ipo wapi hapa bana
 
mama big ngoja nikaichomoe iko kwenye topic yake ya bing bang...sjui kalalia wapi jan???nenda mwambia kuna anae tafuta bi mdogo ...uone kama hatatia timu...:smile-big::smile-big:

Fasta mkulukulu
 
Natafuta nyumba ndogo nzuri kabisa
Anayehitaji tuwasiliane PM

πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:πŸ˜›eace:

Kibweka vipi siulisema dadayangu amekukamata haufurukuti!!tena small house ya nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…