PreGE2025 Baada ya Zanzibar, Michael Msechu atua Dodoma kufanya "uhamasishaji" kwenye mkutano mkuu wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Wakuu,

Balozi wa Mazingira na muhamasishaji wa maendeleo Michael Msechu pamoja na mkali wa mashahili Nchini Tanzania Fumau Mashahiri wameongoza hamasa Wilaya kwa Wilaya wakati wakielekea Mkoa wa Dodoma Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM

Rais Samia na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi CCM Taifa wataongoza mkutano huo pamoja na Makamu Mwenye kiti Na Rais wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Hussein Mwinyi na Mwenyekiti wa balaza la Mapinduzi Pamoja na Wajumbe Wote


Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…