Tetesi: Baada ya Zanzibar, Samia kufanya ziara Oman, Saudia Arabia, Qatar, Dubai na atamalizia Msumbiji

Tetesi: Baada ya Zanzibar, Samia kufanya ziara Oman, Saudia Arabia, Qatar, Dubai na atamalizia Msumbiji

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu.

Wenye wenu wivu mjinyonge.
 
Hongera Mama ,mimi kwa kweli naomba zawadi ya mkufu wa dhahabu.Kila la heri Dr.Mama Samia.Mungu akufikishe salama.
 
Back
Top Bottom