Li ngunda ngali JF-Expert Member Joined Jun 22, 2023 Posts 707 Reaction score 2,572 Jan 8, 2025 #1 Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu. Wenye wenu wivu mjinyonge.
Tetesi zinatabanaisha, baada ya kukaa Zanzibar nyumbani kwao kwa muda mrefu Samia anatarajiwa kufanya ziara kwenye Nchi tajwa hapo juu. Wenye wenu wivu mjinyonge.
UPOPO JF-Expert Member Joined Dec 17, 2010 Posts 3,563 Reaction score 5,687 Jan 8, 2025 #2 Hongera Mama ,mimi kwa kweli naomba zawadi ya mkufu wa dhahabu.Kila la heri Dr.Mama Samia.Mungu akufikishe salama.
Hongera Mama ,mimi kwa kweli naomba zawadi ya mkufu wa dhahabu.Kila la heri Dr.Mama Samia.Mungu akufikishe salama.
Morning_star JF-Expert Member Joined Apr 21, 2018 Posts 6,042 Reaction score 17,320 Jan 8, 2025 #3 Oman, Saudia Arabia, Qatar, Dubai
M majebere JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 4,928 Reaction score 1,787 Jan 8, 2025 #4 acha akawatafutie ajira vijana wa tz.