Baada ya Zari na Hamisa , sasa hivi ni zamu ya official Lynn

Baada ya Zari na Hamisa , sasa hivi ni zamu ya official Lynn

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Naona hivi sasa Ustaa umeanza kunukia kwa video vixen maarufu nchini , Official Lynn . Awali habari za kuwa vixen huyo anatoka na diamond zilianza kuvuma miaka ya nyuma kidogo , mpaka ikadaiwa irene kishika mimba ya diamond na baadae kuchoropoka. Lakini sasa hivi mambo yanaonekana kuwa hadharani baada ya diamond Platnum kumpost irene Mara kadhaa kwenye ukurasa wake wa instagram , hali inayoshilia huenda wawili hao wameamua kuweka wazi mahusiano yao.

Hivi karibuni pia kwenye birthday ya mrembo huyo , alizawadia gari kali aina ya Volkswagen , ambapo inasemekana zawadi hiyo imetoka kwa diamond Platnum's .

Irene kwa sasa anaishi maisha expensive pengine kuliko msanii yeyote wa kike apa bongo , anaishi kwenye ghorofa Kali , ambapo inadaiwa amepangishiwa na danga lake jingine(sio diamond ) , na pia anamiliki mikoko mitatu ya maana.

Irene Amekua akihojiwa na vyombo mbali mbali vya habari , lakini imeonekana mrembo huyo akiwa Hana majibu yakueleweka zaidi ya kucheka cheka na kuongea vitu visivyoeleweka, hali ambayo imewafanya mashabiki wengi waaminj msanii huyo anamatatizo ya akili au anapenda kiki, hajawi kukanusha kutoka na diamond wala kukubali, lakini body language yake Ina Majibu mengi kuliko mdomo wake.
 
Naona hivi sasa Ustaa umeanza kunukia kwa video vixen maarufu nchini , Official Lynn . Awali habari za kuwa vixen huyo anatoka na diamond zilianza kuvuma miaka ya nyuma kidogo , mpaka ikadaiwa irene kishika mimba ya diamond na baadae kuchoropoka. Lakini sasa hivi mambo yanaonekana kuwa hadharani baada ya diamond Platnum kumpost irene Mara kadhaa kwenye ukurasa wake wa instagram , hali inayoshilia huenda wawili hao wameamua kuweka wazi mahusiano yao.

Hivi karibuni pia kwenye birthday ya mrem mbali mbali vya habari , lakini imeonekana mrembo huyo akiwa Hana majibu yakueleweka zaidi ya kucheka kukubali, lakini body language yake Ina Majibu mengi kuliko mdomo wake.

Kila mvua na Chura Wake
 
Tatizo la vidada vya bongo vinadangaa wee unakuta kinajisahau hata kueka kitega uchumi chake huddah na Vera wakenya hawa wanadanga ila wana jitahidi kuweka vitega uchumi wasije potea sana hata wakiachika
 
MWACHENI ZE DOMO ATOMBEEEE ANAPOONA ANAFAAA MAANA HALIZITAFUTA AKAZIPATA SO NOW NI MUDA WAKE WA KULA MUKA
 
Back
Top Bottom