Hayo kuzomea ni staili imeingia mjini,itapita kama mishono ya nguo ,CCM wa kweli hatishiki na zomea zomea,hizo ni hasira tu lakini upendo wao uko pale pale CCM ndio Baba,hasira zina mida na halafu hutulia na mambo yakarudi kama zamani wanajua walokole hawa wa upinzani ni wapakazaji ,hucharuka halafu mwisho hurejea CCM.