Baada ya Zougrana aliyekuwa Kaandaliwa Jezi Namba 6 iliyokuwa ikipambwa Kuwatosa aliyelazimishwa Kuivaa Skudu awaumbua

Baada ya Zougrana aliyekuwa Kaandaliwa Jezi Namba 6 iliyokuwa ikipambwa Kuwatosa aliyelazimishwa Kuivaa Skudu awaumbua

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Kiukweli sijawahi kuvaa Jezi Namba Sita ( 6 ) na siipendi pia na hata katika Timu zote nilizocheza huwa navaa Jezi yangu pendwa namba Kumi na Moja ( 11 )"

"Kilichotokea nilipigiwa Simu na Rais wa Yanga SC Hersi Said na Kuniomba nikubali Kuvaa Jezi namba Sita waliyokuwa Wakiipromoti na haikulengwa kuvaliwa na Mimi na baada ya Kuona ndiyo Jezi iliyokuwa ikipromotiwa mno Mitandaoni nikaona nisiwaangushe Uongozi wa Yanga SC na Kukubali Kuivaa na nitalazimika Kuipenda kwani sina jinsi"

Nukuu zote mbili nimezitoa kwa Mchezaji husika Makudubela Skudu aliyehojiwa na Waandishi wa Habari na Mahojiano yake yaliyopelekea kusema Kauli hizo nilizozinukuu na kwenda Hewani katika Kipindi cha E-Sport cha EFM Radio na hata Sport Extra ya Clouds FM nao wametoka Kuicheza hii Kauli yake muda si mrefu na nadhani baadhi yenu mmemsikia.

GENTAMYCINE nilikuja na Thread hapa hapa Jamiiforums Siku chache tu zilizopita ambayo kwa Kujiamini kabisa nilisema kuwa Yanga SC wasizuge na waseme Ukweli kuhusu Kumkosa Mchezaji waliyekuwa wakimtaka sana na ambaye ndiyo alikuwa ameandaliwa Jezi namba Sita ( 6 ) aitwae Zougrana nikaishia Kutukanwa na Kukebehiwa na Majuha ( Nitwits ) kama Kawaida.

Haya mmeficha na Skudu kawaumbua.

Kudadadeki...!!

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
ila genta kwa kweli unaandika nyuzi nyingi [emoji23][emoji23]

Kwa kweli hili Jukwaa la michezo linastahili mtu kama wewe

heko kwako.
 
Skudu ANAZIDIWA Hadi na KIBABAGE...

Mashabiki wa yanga hawakuwepo uwanjani.

Uwanja ulikuwa tupu.
 
Back
Top Bottom