Zakamwamoba
Senior Member
- Jul 28, 2016
- 177
- 609
Mheshimiwa Rais Samia leo amemwapisha Katibu Mkuu Kiongozi na baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao. Hii ni kufuatia mabadiliko madogo aliyoyatangaza jana tar 31 March 2021.
Baada ya kuwaapisha, Rais Samia amesikia akisema kuna uwezekano Jumanne kuna watu wataingia Chamwino kula viapo.
Mnuso wangu unaniambia kuna baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wiki hii hawatoboi na kuna watu ambao hamkuwategemea watakula shavu.
Wikii hii mama anapangua safu ya wakuu wa mikoa.