Baadae ya Simba Super Cup, nimegundua Watanzania tuko Inferior sana

kanyembwe

Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
94
Reaction score
223
Baadae ya mechi kumalizika niliona wachezaji wa kigeni wa Simba wakikumbatiana na wachezaji wa To Mazembe, wakiongea na kubadilishana mawazo.

Ila kiukweli sikumuona Kokolanya, Duchu, Shabalala, Sheva, Mzamiru, hata Migomba wakisalimiana na wageni, so wangrenda hata kuchati na ulimwengu, au issue ni lugha?
 
Nichoke kucheza mpira nichoke na kuongea? Tusichoshane.
 
Wachezaji wazawa wa simba wana mengi ya kujifunza kutoka kwa wenzao (mapro wa Simba)...
 
Wale wamekutana katika Ligi mbalimbali wegine ni marafiki sio wote mbona hata wachezaji wengine Tp Mazembe walienda kukaa peke yao
 
Andika vizuri basi, papara ya nini?
 
wataongea nini

wao utawakuta vijiwe vya kawaha ndo wanatamba
 
Mazembe kuna mchezaji toka uganda anaitwa Ochoya alikuwa anaongea na mganda mwenzake , mugalu alikuwa anaongea na wakongo wenzake, chama na bwalya walikuwa wanaongea na wazambia wenzake Wawa alikuwa anaongea na muivory coast mwenzake hata Ulimwengu alikiwa anaongea na watanzania wenzake inawezekana wewe ndio tatizo ulikuwa hujui nini kinaendelea
 
Exposure
 
Ulitaka akina mazamiru, shabalala, Migomba na wengine wawakumbatie na kubadilishana mawazo na wachezaji wa TP Mazembe kwa Kilugulu!!!???
Wao walimfuata na kumkumbatia Ulimwengu kule kwenye vyumba vya kubadilishia jezi..
 
Wengi wa hao wageni walikuwa wanaongea na wachezaji wa nchi zao zaidi au wamewahi kucheza ligi moja before.

Fuatilia Kahata,Chikwende au Lokosa kama walikuwa busy kama hao wengine sababu Mazembe hakuna Mkenya,Mzimbabwe wala Mnigeria kwenye squad yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…