Ukinyoosha mpaka kilimanjaro itakuwaje kwenu wakati ipo chini?Kilimanjaro irudi kwetu kwanza ndio tuongee mengine...hehehehe!! Na hata Mombasa ikituacha labda apewe Sultani wa Zanzibar sio kumkabidhi Msukuma, na huyo Sultani lazima aje atuambie hii Afrika kabla hajaja ina maana hakuwakuta watu....
Ni kweli kabisa , mkiingilia siasa zetu mtapotea.. hizi siasa hata sisi wenyewe hatuzielewi ingawa tunacheza humu humu tu.
Mzee hivi hata asubuhi umekunywa chai?? Au umeamka unaanza kuvamia wanaume usiowajua.
nyie watu wa kunya mbona mnashobokea sana TZ yetuNimeona baadhi ya Wakenya wa Mombasa wakitishia kugoma kupimwa Corona na kutolea mifano ya Tanzania ambako matikiti maji, mapaipai n.k. zinapmwa na kukutwa na Corona.
Ndugu zangu Wakenya, muhimu tuchangamkie hili zoezi la "mass testing" ambalo linaendelea, tupange foleni na kupimwa kila mmoja wetu, binafsi nakusudia kupima Jumapili ijayo, acheni kuingia kwenye siasa za Tanzania kichwa kichwa, ifahamike wale wamesalia na miezi michache kabla kuingia kwenye uchaguzi mkuu, hivyo kila kitu kwao kwa sasa kinapelekeshwa kwa milengo, mitazamo na misimamo ya kisiasa, hata janga kama hili ambalo ni hatari kwa dunia, ukipitia majukwaa yao ya kisiasa na mitandao ya kijamii, wanajadili hiki kirusi kwa mihemko ya kisiasa.
Tikitaka zao za mananasi, mapaipai oili ya gari n.k. visisababishe tususie hii shughuli kwetu, muhimu tukafahamu juzi tumeona CDC wametolea takwimu za Tanzania kwamba huko hadi sasa wamepima watu 652 pekee yake na kupata idadi ya walioambukizwa kuwa 480, hiyo inaonyesha uwezekano wa kwanini mkulu wao ana hasira, angalia hotuba zake zimejaa hasira balaa.
Ukipitia majukwaa yao ya kisiasa humu JF, nyuzi za tanzia huibuka kila siku, mara waziri kadondoka na kufariki, mara mbunge, pia tunona wanavyotupia video na mapicha ya mambo yanayotendeka kwao, ukikumbuka RC wa Dar mwenyewe aliwahi kunukuliwa akitahadharisha watu wa mikoani wasije Dar maana huko wanapukutika kama majani, ni mwendo wa mazishi.
Jameni jameni chonde chonde Wakenya muhimu tukafahamu kwamba kwa kupimwa na kujua hali yako, itakusaidia kuwalinda uwapendao, inawezekana wewe ukawa na uwezo mkubwa wa kupambana na kirusi, lakini pia ukawaambukiza familia yako na kuwazika kadhaa, ujikute unamzika mkeo au mumeo, au mwanao, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kujua hali yako kama ilivyo kwa UKIMWI, pima pima pima, hata ikiwezekana kila wiki pima mara moja maana sasa vipimo vimeshaingia mtaani, ushindwe wewe tu.
Pia natoa wito kwa serikali, itie jitihada za kuhakikisha inagharamikia siku ambazo Wakenya wanaishi kwenye karantini, kama vipi mteue shule kadhaa za bweni na kuzigeuza vituo vya karantini, kisha turuhusiwe kuwaletea wapendwa wetu vyakula ili kupunguzia gharama, mjiongeze kimikakati ili Wakenya wachangamkie hili zoezi.
Halafu mheshimiwa Joho gavan wa gatuzi 001, natoa rai achana kabisa na mikwara kwa watu wako wa Mombasa, hasira hazitosaidia kitu, waelimishe taratibu, kama kunao wapambe wa huyu gavana humu, jaribuni kumshauri hili zoezi halitafaulu kwa kutumia hisia kali, Wakennya sio kama Wabongo ambao kule kwao wakikaripiwa na mkulu wanaufyata wote mpaka hata Corona yenyewe inaingia mitini, kwa Wakenya ukiwajia kwa hasira ndio utakua unawapandisha full mzuka na utashindwa kuwatawala au kuwaelekeza.
Naona Watanzania wameanzisha nyuzi za kujiliwaza kuhusu hili Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!. - JamiiForums
We unadhani ukipima ndo unakuwa salama!!!!
Be reasonable kijana acheni kuiga iga
Mbona tayari!Sasa hivi watatuiga utasikia hamna lockdown ,wenzao ulaya na Nchi zengine wameshaiga sisi njia tunayochagua hatubahatishi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona baadhi ya Wakenya wa Mombasa wakitishia kugoma kupimwa Corona na kutolea mifano ya Tanzania ambako matikiti maji, mapaipai n.k. zinapmwa na kukutwa na Corona.
Muache kurukaruka huko na huko mkifuata upepo kama Nzige.
Tulizeni vichwa vyenu jaribuni kufikiri tatizo liko wapi na then m-propose solution yenye kukidhi mazingira ya Kenya...
We endelea kufukia kichwa chako kwenye mchanga,mabwana zenu licha ya kupima sana lakini mavirusi ndo yanazidi kuwasha motoElimika acha kukurupuka, unapima ili uweze kuwalinda uwapendao, sio kila mmoja wetu ana uwezo wa kuhimili hiki kirusi, hivyo ukigundua unacho kabla kuanza kutema mbegu kila mahali, utajaribu namna za kujizuia aidha ujifungie ndani na kutoruhusu yeyote kukukaribia.
Tusipokua makini tutaanza kuona video kama hizi za Tanzania
Nimeona baadhi ya Wakenya wa Mombasa wakitishia kugoma kupimwa Corona na kutolea mifano ya Tanzania ambako matikiti maji, mapaipai n.k. zinapmwa na kukutwa na Corona.
Ndugu zangu Wakenya, muhimu tuchangamkie hili zoezi la "mass testing" ambalo linaendelea, tupange foleni na kupimwa kila mmoja wetu, binafsi nakusudia kupima Jumapili ijayo, acheni kuingia kwenye siasa za Tanzania kichwa kichwa, ifahamike wale wamesalia na miezi michache kabla kuingia kwenye uchaguzi mkuu, hivyo kila kitu kwao kwa sasa kinapelekeshwa kwa milengo, mitazamo na misimamo ya kisiasa, hata janga kama hili ambalo ni hatari kwa dunia, ukipitia majukwaa yao ya kisiasa na mitandao ya kijamii, wanajadili hiki kirusi kwa mihemko ya kisiasa.
Tikitaka zao za mananasi, mapaipai oili ya gari n.k. visisababishe tususie hii shughuli kwetu, muhimu tukafahamu juzi tumeona CDC wametolea takwimu za Tanzania kwamba huko hadi sasa wamepima watu 652 pekee yake na kupata idadi ya walioambukizwa kuwa 480, hiyo inaonyesha uwezekano wa kwanini mkulu wao ana hasira, angalia hotuba zake zimejaa hasira balaa.
Ukipitia majukwaa yao ya kisiasa humu JF, nyuzi za tanzia huibuka kila siku, mara waziri kadondoka na kufariki, mara mbunge, pia tunona wanavyotupia video na mapicha ya mambo yanayotendeka kwao, ukikumbuka RC wa Dar mwenyewe aliwahi kunukuliwa akitahadharisha watu wa mikoani wasije Dar maana huko wanapukutika kama majani, ni mwendo wa mazishi.
Jameni jameni chonde chonde Wakenya muhimu tukafahamu kwamba kwa kupimwa na kujua hali yako, itakusaidia kuwalinda uwapendao, inawezekana wewe ukawa na uwezo mkubwa wa kupambana na kirusi, lakini pia ukawaambukiza familia yako na kuwazika kadhaa, ujikute unamzika mkeo au mumeo, au mwanao, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa kujua hali yako kama ilivyo kwa UKIMWI, pima pima pima, hata ikiwezekana kila wiki pima mara moja maana sasa vipimo vimeshaingia mtaani, ushindwe wewe tu.
Pia natoa wito kwa serikali, itie jitihada za kuhakikisha inagharamikia siku ambazo Wakenya wanaishi kwenye karantini, kama vipi mteue shule kadhaa za bweni na kuzigeuza vituo vya karantini, kisha turuhusiwe kuwaletea wapendwa wetu vyakula ili kupunguzia gharama, mjiongeze kimikakati ili Wakenya wachangamkie hili zoezi.
Halafu mheshimiwa Joho gavan wa gatuzi 001, natoa rai achana kabisa na mikwara kwa watu wako wa Mombasa, hasira hazitosaidia kitu, waelimishe taratibu, kama kunao wapambe wa huyu gavana humu, jaribuni kumshauri hili zoezi halitafaulu kwa kutumia hisia kali, Wakennya sio kama Wabongo ambao kule kwao wakikaripiwa na mkulu wanaufyata wote mpaka hata Corona yenyewe inaingia mitini, kwa Wakenya ukiwajia kwa hasira ndio utakua unawapandisha full mzuka na utashindwa kuwatawala au kuwaelekeza.
Naona Watanzania wameanzisha nyuzi za kujiliwaza kuhusu hili Magufuli aistua Dunia kuhusu vipimo fake vya Corona!, Mombasa wagomea kupima Corona, wamtaja Magufuli amesaidia kustuka, wathibisha JPM is Right!. - JamiiForums
unajua matokeo ya mgonjwa wa ukimwi akiishajijua ni mgonjwa?????Sasa hivi hairuhusiwi watu kukaidi ushauri wa kitaalam, jua hali yako ili ujizuie kutema mbegu, uzuie kuwaambukiz ndugu na jamaa, ukishajua hali yako utaacha kutangatanga....
ni kama vile sisi na ZanzibarMombasa si Kenya!
Ji wapuuzi sana. Ni Bora kuwaacha na upumbavu waoHivi kulikua na umuhimu gani wa kuizungumzia na kuikebehi Tanzania kwa kihasi hiki katika huu Uzi?.
Wale wakenya wenye kulalamika kwamba watanzania tunaishambulia Kenya Mara kwa Mara bila sababu wakati wakenya hawana habari na Tanzania mpo wapi?.
Mara nyingi Tanzania tunaishambulia Kenya kama kulipiza mapigo, ila tunajibu kwa nguvu zaidi ya ninyi, ndio sababu mnahisi tunaichukia Kenya. Mkiendelea kutuchokonoa tutawajibu kwa nguvu zote.
cc. Tony254
Sinister
Mwaswast
Geza Ulole
Game over
Sent using Jamii Forums mobile app
unajua matokeo ya mgonjwa wa ukimwi akiishajijua ni mgonjwa?????
huo ni ukimwi ambao still mgonjwa ana nafasi ya kuishi,vipi corona ambayo kupona ni 10%???
Sent using Jamii Forums mobile app
Wameshafanya mradi?Unataka wapelekwe quarantine halafu wakaandikiwe bili ya 50k bila hata ya kupewa panado!
Halafu hiyo Tanga kwa sasa itakua ndio inasababisha maambukizi ya Mombasa kupandisha kwa kasi, huu ni wakati wa kuweka undugu pembeni kwanza hadi janga liishe.
Wameshafanya mradi?