Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
Abiria wengi kwenye bodaboda wanataka waangalie kila hatua la tairi la mbele la pikipiki linapopita, anataka aone mbele kuliko hata dereva.
Na ikiwa haoni vzuri upande huu anageuza shingo upande wa pili,hii inaperekea wakati mwingine kumyumbisha dereva kwasababu wakati mwingine mko sehemu finyu au mazingira si rafiki, na wewe abiria unalazimisha uchungulie mbele mwisho wa siku jamaa akikosa balance kinachofuata ni ajali.
Muwe na ustarabu mkibebwa au ukitaka ufatilie mbele zaidi muombe uendeshe wewe.