Dali Mpofu
Senior Member
- May 9, 2021
- 173
- 328
NimStupid reason, ni asilimia ngapi hii ukicompare na ujinga mwingi unaosababishwa na madereva wenyewe (not all).
Mkuu nimesema "baadhi ya"Stupid reason, ni asilimia ngapi hii ukicompare na ujinga mwingi unaosababishwa na madereva wenyewe (not all).
Ndo maana nikasema baadhi sio zote wala sio ajali nyingi. Hii point yangu inategeana na mazingira hayako safeHilo haliwezi likaleta ajali kama utakua waendesha kwa speed ya kawaida ambayo sio kubwa.
Hyo nayo ni nyingineEweeee dereva mnywa visungura acha kubeba walevi wenzako ukiwa unawatoa bar..
Wote sawa tuuAbiria aina hii na yule ambae bodaboda inachomeka hovyo katikati ya malori yeye hana habari anachat kwenye simu yupi bora?
IHuyo dereva labda wa baisikeli. Huyo abilia wa kilo ngapi,na mzigo wa kilo 200,kipi kinaweza sababisha ajali kirahisi?
Mada nyingine bwana eh. Siyo kila mwendesha pikipiki anastahili kuitwa dereva wa pikipiki. Na je,ajali za miaka ya nyuma umezisahau? Chanzo hukijui?
Kama ilivyo kwa vyuo vya kujifunzia kuendesha gari, na pikipiki ilitakiwa kuwa hivo. Kwa faida ya anaeendesha,kama akipenda lakini. Vijana wengi,akiona anaweza kupanga na kupangua gia,basi hapo hapo anaenda kuwa boda boda na kutafuta hela. Utamuona mtu anakimbia spidi 100,kwenye taa hajali,kwenye magari makubwa ndo huyo kupenyapenya,mwishowe wanaishia chini ya tairi. Hao ndo unaosingizia abilia kwamba wanasababishiwa ajali?
Mkuu mtu akisema "baadhi" uelewi? Wewe ulichoongea umejumuisha ajali za bodaboda kitu ambacho ni tofauti nilichokiongeaHuyo dereva labda wa baisikeli. Huyo abilia wa kilo ngapi,na mzigo wa kilo 200,kipi kinaweza sababisha ajali kirahisi?
Mada nyingine bwana eh. Siyo kila mwendesha pikipiki anastahili kuitwa dereva wa pikipiki. Na je,ajali za miaka ya nyuma umezisahau? Chanzo hukijui?
Kama ilivyo kwa vyuo vya kujifunzia kuendesha gari, na pikipiki ilitakiwa kuwa hivo. Kwa faida ya anaeendesha,kama akipenda lakini. Vijana wengi,akiona anaweza kupanga na kupangua gia,basi hapo hapo anaenda kuwa boda boda na kutafuta hela. Utamuona mtu anakimbia spidi 100,kwenye taa hajali,kwenye magari makubwa ndo huyo kupenyapenya,mwishowe wanaishia chini ya tairi. Hao ndo unaosingizia abilia kwamba wanasababishiwa ajali?
Si kweli, Bodaboda wengi hawapigi mswaki, hivyo abiria lazima ainue kichwa kukwepa harufu mbaya inayotoka mdomoni mwa bodaboda, mbaya zaidi wengine wanakunywa pombe hata wiki hawasafishi kinywa, kama ni wewe utavumilia hali hiyo?Abiria wengi kwenye bodaboda wanataka waangalie kila hatua la tairi la mbele la pikipiki linapopita, anataka aone mbele kuliko hata dereva.
Na ikiwa haoni vzuri upande huu anageuza shingo upande wa pili,hii inaperekea wakati mwingine kumyumbisha dereva kwasababu wakati mwingine mko sehemu finyu au mazingira si rafiki,
Minor, minor, minor reason, it doesn't deserve even to start a thread for it, does it?Mkuu
Nim
Mkuu nimesema "baadhi ya"
Sijasema nyingi, au zote. Tafadhali elewa kwanza
Hahaha haya buanaSi kweli, Bodaboda wengi hawapigi mswaki, hivyo abiria lazima ainue kichwa kukwepa harufu mbaya inayotoka mdomoni mwa bodaboda, mbaya zaidi wengine wanakunywa pombe hata wiki hawasafishi kinywa, kama ni wewe utavumilia hali hiyo?
Abiria wengi kwenye bodaboda wanataka waangalie kila hatua la tairi la mbele la pikipiki linapopita, anataka aone mbele kuliko hata dereva.
Na ikiwa haoni vzuri upande huu anageuza shingo upande wa pili,hii inaperekea wakati mwingine kumyumbisha dereva kwasababu wakati mwingine mko sehemu finyu au mazingira si rafiki,nawewe abiria unalazimisha uchungulie mbele mwisho wa siku jamaa akikosa balance kinachofuata ni ajali. Muwe na ustarabu mkibebwa au ukitaka ufatilie mbele zaidi muombe uendeshe wewe.
Shida kweli kweli. Ungeongelea uzembe wenu na ujuaji. Na mihemuko ya sifa za ajabu. Vyombo vya moto hivo. Mbona wengi wanakufa wakiwa wenyewe?Mkuu
Nim
Mkuu nimesema "baadhi ya"
Sijasema nyingi, au zote. Tafadhali elewa kwanza