Baadhi ya bidhaa za machinga zifuatiliwe kwa umakini

Wengi hawana utaratibu wa kuangalia used by date
Wananunua tu na kuondoka

Hizi bidhaa zinaishia mda wake madukani ila kuna wafanyabiashara ndio wanawapa wauze
 
Mkuu nilitilia Shaka that’s why nikanunua ili kujiridhisha
Me naona jamaa wapo sahihi, wanafahamu kuwa wanauza low quality ndo maana wanauza Bei cheap we ni kwanini usifahamu kuwa kwanini usijue kwanini wanakuuzia low price? I mean kwa mfano, mtu akikuuzia kitu used, anakuuzia low price kwa kuwa amesha kitumia au kina ubovu fulani tayari na wewe unakuwa ukilijua Hilo tayari na vivyovivyo ndo kwa bidhaa zingine zote, Price zake zipogo wazi kabisa so ukiona bidhaa inauzwa cheap kiasi Cha kushangaza inabidi ulifahamu Hilo.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
 
Duh hii hatari kubwa sana hiyo sabuni tunanunua 2000-2500.
 

Tatizo afya kwa watanzania
 
Tatizo afya kwa watanzania
Usipojijali binafsi shauri yako mfanyabiashara anajali pesa yako na sio afya yako.
Mamlaka zingekuwa seriously Hakuna mama lishe angetumia vyombo vya plastic, magazeti,manailoni Ili kuongeza wagonjwa wa kansa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…