Sualaa la Simuu kuibiwaa...kutumbukia kwenye majii.. Sijui sio yanguu nimeazimaa ni mzigoo..Hny naomba hela kidogo ya matumizi [emoji134]♀️
Baby wangu nikusumbue? Nina shida sijui utanisaidiaje!?
Mpenzi wangu nimeibiwa kila kitu ndo maana cpatikaani hapa nimeazima cm ya rafiki yangu [emoji24][emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume tunapitishwaga kwenye magumu mengi kwa tamaa zetuSualaa la Simuu kuibiwaa...kutumbukia kwenye majii.. Sijui sio yanguu nimeazimaa ni mzigoo..
Yaaha anajua unaitaka Pussy kwa halii na malii...soo kama hela unayo..simuu utamnunulia.. Me huwa namwambia usijali ntakununulia tu kuwa mpole.. Akijaa nkamvuaa tuu bhasi hiyoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanaume tunapitishwaga kwenye magumu mengi kwa tamaa zetu
Nna shida na hela kidogo kama laki tano hivi
HAHAAAA WANAWAKE KWELI WAMEISHA DUUH
Ahahahahahahah duh aseeeRashidi umeshindwa kusoma unakariri kauli za wanawake
Wapi wewe nahuku mnatunzwaWacha nisitie neno.
Wanaume tumeumbwa matesi
Haa...yaani hao wenye ajira ndo hatar...mizinga mikubwa mikubwa...Nadhan hii ni kwa mabint wasio na kazi au hata wenye ajira?
hata wanaume huwa wanasemaga, mimi huwa nashangaa si waseme tu moja kwa moja?Hiyo nikuambie kitu ndio siipend kuliko zote
Mmhhh tunatunzwaje mama ?Wapi wewe nahuku mnatunzwa
Hahah!! Hii tunaita kumwagia kuku mtama
Sasa pengine alitaka akwambie Anataka akupe nyapu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee endelea kuichukiaHiyo nikuambie kitu ndio siipend kuliko zote