Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni
Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia huduma ya kuzungumza na wateja kupitia namba 100 sijui wametoa wapi TCRA wachukulieni hatua hawa watu, huwa hawataki kuongea na wateja bila kufahamu madhara yake ni makubwa sana kwa wateja
Wateja wanaweza kuwa wamepoteza mamilioni ya fedha kwa kukosea kutuma na pale wanapohitaji msaada wa haraka wanakosa
Wamejikita kuchat na Wateja WhatsApp madhara yake jumbe zinachelewa kusomwa kwasababu ya wateja wanapokuwa wakihangaika na BOT kabla ya kuunganishwa na wahudumu
Nini maana ya huduma kwa wateja? Inamaana gani kuweka namba 100 alafu mnazuia kuzungumza na wateja yaani ni sawa na kuweka Emergency number ya zima Moto alafu uazuia kuongea na wateja
Tafadhali acheni huu ujinga haraka, kama hamtaki kuongea na wateja fungeni kampuni zenu
Inamana hamjui kuwa hizo kampuni haziwezi kuwa hai bila wateja??
Blal kenge.....