tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,491
Kuna baadhi ya kauli siku hizi sizisikii kabisa kama hizi.....
- Unanijua mimi nani?
- Wee kijana hujipendi....
- Nenda kashitaki popote pale....
- Nitakupoteza naona hunijui.......
- Nauwezo wa kukufanya chochote kile....
- Nitakufunga na utaozea jela...
- Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa....
- Wee kijana unatafuta kupotezwa.....