.Kuna baadhi ya kauli siku hizi sizisikii kabisa kama hizi.....
Nadhani sasa ule ubabe uliokuwepo kipindi kile umepungua au kwisha kabisa. kila mmoja yuko free na shughuli zake bila shida yoyote.
- Unanijua mimi nani?
- Wee kijana hujipendi....
- Nenda kashitaki popote pale....
- Nitakupoteza naona hunijui.......
- Nauwezo wa kukufanya chochote kile....
- Nitakufunga na utaozea jela...
- Siongei na mbwa naongea na mwenye mbwa....
- Wee kijana unatafuta kupotezwa.....
Sawa hawapo hao je ulishawahi kuvimiwa na upepo wa watu wasiojulikana?Kuna baadhi ya kauli siku hizi sizisikii kabisa kama hizi.....