Baadhi ya Lecturers wa Mzumbe wana degree Feki - VC wao naye FEKI

Si
Si mchezo haya mambo kumbe yameanza zamani sana
 
Wacha wakfu wazikane mie nilipokuwa enzi ya iliyokuwa FOE niliona mengi na yenye kutia shaka nilinyamaza kimya kuepuka SUP! maana ukiongea cha moto utakiona! Wakati mnachimbua hili kabuli mkumbuke mfalme wa nchi pia ana fake Phd
mzee wa kukariri data. Kisa anauwezo wa kukariri data eti wabongo wanamuita msomi.

Hata Nyamayao, joti ama mchizi mox anaweza kukamua korosho akapata mafuta. Kuna ugumu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…