Baadhi ya 'madada poa' nchi za nje wanatumia tattoo zenye QR code kufanyiwa malipo ili kuepukana na wateja wezi

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,192
Reaction score
5,685
Hello bosses and roses...

Kwenye harakati zangu nimesikia matumizi ya teknolojia ambayo yameniacha mdomo wazi kwakweli, moja wapo ni hili.

Kuna rafiki yangu yupo huko nchi za watu alinambia kwamba huko madada poa wameacha kupokea cash sababu wateja wengine ni wezi, hivyo wanachofanya wanakua na digital wallets zao na kisha wanatengeneza QR code (kama zile za masterpass) wanazipiga tattoo kiunoni, pembeni ya tacor, au sehemu yyt rahisi kuscan na yenye kuleta midadi kwa mteja

Mteja kabla ya kuanza kuhudumiwa inabidi a-scan kwanza ndo mambo mengine yaendelee.

Huu ubunifu umenishangaza na kunifurahisha kwakweli, nini maoni yenu 'Great Thinkers'....
 
Bo

Bongo itabidi wachore lipa namba😂😂
 
Kama bhange tu wanavyofaidisha mapusha na ASKARI KULA RUSHWA.
Afadhali hata bange,lakini kuhusu ukahaba ni kwamba hiyo kitu haiwezekani kuzuia.

Ukiondoa wale wa kujipanga kwenye sehemu zao,siku hizi wana mtindo ni kwamba mnakutana tu mahali mnamalizana fresh.

Hata kwa gari it is possible so kaisari iweke strategic area ili kila mtu alipe kodi
 
Wangetoa kodi kwenye mafuta kwa asilimia kadhaa alafu wakaanzisha ukusanyaji kodi kwa dada zetu mpunga ungeflow vizuri tu
 
Naitwa top manyota top manyota toka chabela camp soko kuu majengo Dodoma. Nafikiri DP World wakabidhiwe chama cha mapinduzi wakiongoze.
 
Meya wa Kinondoni alitoa wazo serikali ilasimishe hii biashara lakini watu walimuona hana maana alipoleta wazo hili.
 
Ondoa hilo neno jorking,
Ishi ni kwamba serikali inakosa mapato huku ikiwa haiwezi huzuia hili jambo .
Wajiongeze,

Kama TBL inaongoza kutoa gawio basi hii lazima itaipita kwa mapato
 
Back
Top Bottom