Askof Mstaafu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 924
- 4,581
Baada ya kuona taarifa ya kamanda Muliro iliyolenga kutukamata sisi wateja wa madada poa na sio wao makahaba imeniuma sana. Sijashangaa sana kukamatwa sisi maana ni mwendelezo wa kile ambacho kimekua kikiendelea siku zote.
Kuna baadhi ya makahaba wenye tamaa na na sio waadilifu kwenye kazi zao wamekua wakitengeneza njama za kutukamatisha sisi wateja wao tunapoenda kuwapatia ridhiki waweze kusukuma gurudumu la maisha lakini baadae hutugeuka
Siku moja nikiwa Manzese nimepiga vyombo kisawasawa nikaona ni mda mwafaka wa kwenda kushtua mishipa ya damu kwa madada poa sio ivo tu nao wapate ridhiki. nikakata chochoro mbili hatimae nikafikia huduma. nikafanya biashara na pisi mbili tofauti mambo yalienda vizuri tu.
Shida wakati natoka kwa nje kidogo nikaona pisi moja matata wakati nikiitolea macho ikanipa ishara ya kuniita. baada ya kuisogelea ikanivuta chobingo mara natahamaki nishapigwa pingu mkononi na mabwana wawili waliojitambulisha kwa vitambulisho kuwa ni maaskari. hiyo ni saa 6 na madakika yake usiku. Baada ya mazungumzo ya mda kidogo nikawapatia elfu 20 na wakaniachia. ila yule kahaba hawakukamatwa nikagundua ni njama ile. Hicho ni kisa cha kwanza
Siku nyingine mishale ya saa 7 usiku nikiwa natokea maeneo flani karibu na taifa kama unakuja Tazara kuna chimbo moja lina totoz japo lipo local ila huwa naendaga mara mojamoja kupata huduma kwa masister poa hawa. Sasa hiyo siku sikuwa na mpango wa kwenda kufanya biashara na hao makahaba nilkua na napita tu ila mida ndo mibovu. nilipofika eneo hilo shetani akaniomba japo nikachachue kidogo nipate nguvu za kuendelea na safari yangu. Nikawa na mgogoro wa nafsi eidha niende au nisiende lakini nikafikia mwafaka wa kwenda kupiga Yope. nikaingia sheli moja nikamkabidhi mlinzi tukutuku yangu nikamuahidi narudi sio mda.
Nikaanza kukata mitaa kuelekea ilipo huduma mtaa wa kwanza wa pili kushoto tayari nipo eneo husika, nikakutana na pisi moja imetega lakini tukashindwana bei kwani ilitanijia bei kubwa sijui aliona wakuja nikaiambia mi sijatokea kilosa mi borntown kitambo nshafanya biashara sana na nyie na bei nazijua sana sipigwi kizembe wasubiri wageni wa hii busness.
Wakati naondoka ikawa inanibembeleza kwamba maelewano yapo sikumsikiliza nikamuona huyu tapeli. Hatua kadhaa kona nyingine toto hii hapa tukaelewana baada ya kubageini kidogo tukaelewana mida ni saa nane kasoro usiku. haina room ikanivuta kona moja chobingo kuna matenki ya maji ikainama imeshika tank na mi nikashusha suruali yangu nusu mlingoti. Nimepiga tako kama nne hivi nikasikia bunduki ya bariidiii kabisa ipo makalioni na sauti ikiniambia nimalizie. daah mazingira yangu yalilala palepale kwa hofu kubwa. kumbe maaskari wa doria
Nikapigwa pingu kwa kufanya biashara haramu chaajabu yule mhudumu wangu hakukamatwa akavaa nguo zake akaondoka nikagundua kumbe ule ulikua mchongo. mimi nikabebwa mkukumkuku nikatupwa kwenye noah yao. Nikaanza kuzungushwa mitaa, baada ya kona nyingi nikiwa nao kwenye gari wakapaki pembeni wakanichekecha niwapatie shingi 50 elfu waniachie.
"Broo nina buku 7 hapa sina kitu nisaidie"
Ahaa ushaniona na mimi kahaba unataka kuninunua na mimi au sio" jibu la afande
Lakini mwisho wa yote tulifikia mwafaka nikawapa cha ten wakaniachia. Alafu eti " dogo ukinyoosha na hii road mbele kata kulia mtaa wa kwanza wa pili utawakuta malaya wakali zaidi ya wale kapige show mdogo wangu"
Saa 9 usiku nikaanza kukata mitaa kwa miguu mpaka kufikia sheli maana walinishushia mbali sana nikachukua tukutuku yangu nikaanza safari ya kurudi mbezi mwili umekufa ganzi.
Toka siku ile saivi nipo makini sana na hawa madada poa nipo tayari niagize kitu online inifikie mahali nilipo sijali gharama kuliko kusumbuana na serikali. Wito wangu tunaofanya biashara hii tuweni makini serikali ishatangaza vita dhidi yetu