Mzee wa Code
Member
- Sep 23, 2024
- 61
- 91
Vichaka hivi unavyoviona vipo kuanzia Soko la Majengo, Hospitali ya General, Soko Kuu la Dodoma, Machinga Complex, nyuma ya Chinangali Park, kuna mtaro mkubwa ambao, Mamlaka za Dodoma zimeuacha ukiwa mchafu bila kufanyiwa usafi pamoja na kujifanya wameweka sheria kali ya kila Jumamosi kuanzia Saa 12 asubuhi mpaka Saa Tatu kama sijakosea ambapo mji huu biashara zote ufungwa kwa jailli ya kufanya usafi.
Mkuu wa Wilaya Dodoma hivi kwa uchafu huu Dodoma unashindwa kuwajibika, nitoe mfano mwingine eneo la Chamwino Darajani Karibu na Soko la Maisha Plus ibaka wanaweza kujificha katika maeneo hayo kwa lengo la kufanya uharifu kwa wapita njia.
Attachments
-
WhatsApp Video 2024-10-21 at 23.25.29.mp41.4 MB
-
WhatsApp Video 2024-10-21 at 23.14.56.mp4648.9 KB
-
WhatsApp Video 2024-10-21 at 23.14.55.mp4763 KB
-
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.25.30.jpeg120 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.25.28.jpeg150.3 KB · Views: 6 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.14.58.jpeg161.7 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.14.55.jpeg98.7 KB · Views: 4 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.14.56.jpeg109.5 KB · Views: 6 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.14.57.jpeg117.2 KB · Views: 7 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.14.58.jpeg161.7 KB · Views: 9 -
WhatsApp Image 2024-10-21 at 23.25.28.jpeg150.3 KB · Views: 6